The extraordinary summit of the Southern African Development Community leaders in Dar Es Salaam, Tanzania is over, but the debate over the Zimbabwe's government's crackdown on opposition still lingers on. As usual, when Zimbabwe's political crisis dominates news headlines so do the opposing views of the situation. What do Swahili bloggers and their readers have to say about Zimbabwe?, Photoblogger Muhidin Issa Michuzi posts photos of the Southern Africa leaders as they arrive in Dar Es Salaam for the summit. Mugabe's photo leads to a heated debate about Mugabe's tactics of suppressing the oppostion, his portrayal in the media and Zimbabwe's land redistribution program. One reader condemns Mugabe's dictatorial tactics: Hata mie nakuunga mkono kuwa Mugabe anachemsha kwa kumdunda Morgan Tsvangarai na wapinzani wengine. Inaonekana anaendesha ubabe na kutoa “news” kwa mataifa ya magharibi. Swala la Mashamba-ni haki kuyagawana kwa walio wengi sio kuwaachia walowezi wachache. Tatizo linakuja kama unachukua mashamba na kugawia watu ambao hujawatayarisha kuyatumia kikamilifu. Tunaambiwa kuwa sasa hivi Zimbabwe kuna njaa sana kutokana na hili zoezi-sijui kama ni kweli au ni propaganda za BBC na vyombo vya habari vya magharibi. Mie siungi mkono viongozi kukaa sana madarakani-nchi yeyote duniani. Naipongeza Tanzania kwa kuweka katiba inayolinda kipindi ambacho mtu anaweza kuwa raisi (miaka kumi inatosha!). Huyu Mugabe amekaa mno bwana-halafu amezeeka. Mbona mwenzie Mandela alikaa kidogo akaachia ngazi?? Ukomavu wa kisiasa lazima uandamane na kung'atuka kutoka madarakani katika muda muafaka. Other readers question the mainstream media overwhelming focus on Zimbabwe compared to other African crises: Juzi bagamoyo watanzania wamenyang'anywa mashamba yao na serikali, na mpaka polisi wa ghasia FFU wakaletwa kuzuia ghasia, jee BBC na CNN wameonyesha? Still on Zimbabwe Maggid Mjengwa posts an article, “Magwiji wa Demokrasia au chui” (Leaders of democracy or leopards in sheep's clothing?), by a Tanzanian political analyst, Nizar Visram, while Jeff Msangi questions the definition of a dictator and wonders if Robert Mugabe is the only one: Hivi Mugabe ni dikteta? Mbona kachaguliwa kwa kupitia sanduku la kura? Mambo yanayoendelea nchini Zimbabwe hayapendezi hata kidogo.Lakini swali kubwa ni je yanatendeka Zimbabwe peke yake? Chaguzi zinazosemekana kutokuwa huru zinatokea Zimbabwe peke yake? Kwani hatukumbuki jinsi George Bush alivyoingia madarakani? Makamu wa raisi wa Bill Clinton, Al Gore siku hizi akijitambulisha anasema “I am Al Gore,I used to be the next president of the United States”, unadhani anatania? … Ni nchi ngapi duniani zinazokandamiza upinzani kwa kutumia nguvu za dola za kila aina? Hivi ni nchi ngapi duniani zinazokandamiza uhuru wa kujielezea? A comment in his blog suggests that Zimbabwe's government is not a dictatorship and argues that political crisis in Zanzibar is even worse: Mugabe ana mapungufu fulani katika jinsi anavyotatua matatizo ya sasa nchini Zimbabwe,hata hivyo hayuko karibu kabisa na udikteta.tatizo lilopo duniani ni kwamba katika ngazi ya kimataifa kuna anarchy na mataifa fulani yanatumia mwanya huu kujinyakulia mamlaka ya kuamua mambo katika ngazi ya kimataifa.hapo ndio uwaita wale wanaofanya maamuzi kinyume na matakwa majina mbalimbali ya ajabu ajabu ili tu kuvuta hisia za watu waungane nao katika kuwashinikiza juu masuala mbalimbali.ninashangazwa sana jinsi viongozi wa upinzani zimbabwe wanavyolichukulia swala zima!mataifa ya magharibi hayapiganii haki bali maslahi yao, ingekuwa wanapigania haki wangeweza kuona kuwa tatizo la kisiasa zanzibar ni kubwa zaidi ya ghasia za zimbabwe, nani amewahi kuzungumzia zanzibar kwenye vikao vya kimataifa? wanaishia kutoa tamko tu kuwa hawakuridhishwa na jinsi uchaguzi ulivyofanyika! Reflection on African unity on the 50th Anniversary of the Treaty of Rome As the European Union commemorates its 50th anniversary, Simon Kitururu reflects on African unity. He encourages Africans not to give up on that dream: Wakati wa Ulaya(EU) wanasherehekea miaka 50 tokea Triti ya Rome kupigwa sahihi, mimi nashindwa kujizui kuwakumbuka akina Kwame Nkurumah ambao nao tokea mbali waliwaza na kujaribu kuunganisha bara la Afrika. Waulaya imepita miaka hamsini angalibado wanajenga himaya yao. Tukikumbuka hawa ndio waliokuwa na ambao wamechangia sana kutugawa Waafrika mpaka leo hii bado wanajenga muungano wao. Hivyo naamini kabisa inawezekana kuwa Afrika pamoja nayote yatukabiliyo ni jambo zuri tu tumefanikiwa angalau kulitunza wazo la muungano wetu. Mimi naamini sisi tunahitaji sana kuungana hata kama si kwa staili ya hawa wa Ulaya. Tunahitaji kuungana ili kusaidiana kuokoa vizazi vyetu vya watu weusi vijavyo kunyanyasika hapa duniani.
Construction Journal
Swahili Blogosphere: Blogging against Freedom of Information Bill, African unity, and How many other dictators are out there?
Tags





